Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

Nami nipo kujifunza, japo binafsi navutiwa zaidi na Toyota Alphard kutokana na spaces yake ya ndani

Japo watu wanasemea changamoto yake ya uwepesi barabarani, wanasema ili isikusumbue barabarani vyema upakie watu wengi ama mizigo

Otherwise wanasema hazichelewi kukutupa/kupinduka
 
Kama unatembea speed za kawaida haina shida ila kwa wale wa 120kph kwenda juu muda wowote unaacha njia
 
Shingap ya 2016
Screenshot_20260915-122637.png
 
Back
Top Bottom