Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

Kama unatembea speed za kawaida haina shida ila kwa wale wa 120kph kwenda juu muda wowote unaacha njia
Acheni upotoshaji. Kama ingekuwa kweli basi Toyota wangepata scandal. Yaani gari likizidi 120km/hr linapinduka? Mi nimesafiri mara kibao na Alphard na napiga mwendo mdundo sijawahi hata kuhisi linataka kupinduka. Kama huna control tatizo ni wewe dereva na sio gari.
 
Mwongo huyo, hata guta hajui kuendesha anatoa ushuhuda wa Alphard 😁😁
 
Back
Top Bottom