Akiwa na umri wa miaka kumi tu tayari alikuwa ameshauwa watu watatu na cha kushangaza zaidi mmoja kati ya hao waanga mmoja alikua ni dada yake wa tumbo moja.
NI NANI HUYO.
Kwa majina anafahamika kama Amarjeet Sada kijana aliyezaliwa mwaka 1998 huko nchini India katika familia ya kimasikini...