Ndege moja ya mizigo ya Amazon Prime Air imepata ajali na kushika moto baada ya kupitiliza barabara ya kutulia (runway) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami, Jumapili hii mchana (usiku wa Saa 3 Tanzania).
Ndege hiyo aina ya Boeing 767-300, iliyokuwa ikitokea San Juan (Puerto Rico) ni...