amekufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Muliro asisitiza Ulomi amekufa kwa ajali, asema ndugu sio TCRA

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesisitiza kuwa kifo cha mfanyabiashara Daisle Ulomi aliyetoweka katika mazingira yenye utata Desemba 11, 2024 akiwa kazini kwake Sinza Kijiweni, kimesababishwa na ajali na si vinginevyo. “Ukiniambia simu ilisoma wao ni watu...
  2. S

    Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  3. G

    Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake. Hezbollah...
  4. Hivi mtu akikopa hela kwa dhamana ya nyumba halafu akajifanya amekufa je bank itaichukua hio nyumba?

    Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda...
  5. Polisi: Binti aliyefanyiwa ukatili yupo salama salimini, puuzieni wanaosema amekufa

    Kupitia ukurasa wao wa X, Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kuhusu binti aliyefanyiwa ukatili Yombo kuwa amekufa, na kusema taarifa hiyo ni uzushi usiokuwa na utu na ubinadamu ndani yake, na kwamba binti huyo yupo salama salimini. Pia soma: Watuhumiwa wa...
  6. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  7. Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  8. Afisa wa Kenya aliyehudhuria mazungumzo ya Haiti huko Washington apatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli

    Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi. Afisa huyo alikuwa afisa wa polisi wa ngazi ya juu ambaye alikuwa amesafiri kwenda Marekani...
  9. Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo. Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd. Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake . Video...
  10. Ukiota ndugu yako amekufa usikurupe kufanya chochote bila kumshirikisha Mungu kwanza

    Nianze kwanza kwa ku kutoa wenge. Ndoto moja inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya elfu moja. Lakini watu wanao jiita watumishi wa leo wanakuwaga na tafsiri moja tu ya kila ndoto ambayo huwakaririsha waumini wao. Kwa mfano ukiota umerudi utotoni basi tafsiri yao huwaga ni moja tu : kuna mtu...
  11. Moshi: Kijana akutwa amefariki dunia shambani huku mwili wake ukiwa hauna nguo

    Kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Emmanuel Alex, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28, amekutwa amefariki dunia shambani huku mwili wake ukiwa hauna nguo yoyote. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Orori kata ya Machame Mashariki, limezua taharuki miongoni mwa watu katika eneo hilo huku...
  12. Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Rashid Mbuguni Afariki Dunia. Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kuondoka duniani kwa Ndugu Rashid Mbuguni. Apumzike Kwa Amani. Maggid Luqman Maloto anaandika: Luqman Maloto “MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha...
  13. Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

    Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia. Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji. Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka...
  14. T

    Nimeota mtu kapanda basi na kuku aliyekufa

    Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu. Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭...
  15. Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

    Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani. Federal news agency The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
  16. Kama una ndugu yako amekufa lakini bado anaishi njoo hapa

    Kuna watu wana ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa Je, mnajua mnabidi kufanya nini?
  17. Mama aliniambia Baba yako Amekufa!

    Dukani kwa Mangi nakutana na kijana mmoja barobaro hivi,anamwambia Mangi nipimie maharage,karanga, njugu mawe na nafaka nyingine mbali mbali huku anaendelea kuangalia orodha ambayo ametumiwa na mzazi mwenzake,ilikuwa na maandalizi ya kutengeneza unga WA lishe WA mtoto wao. Kilichonipeleka Kwa...
  18. Faru Weupe kupelekwa hifadhi ya Burigi Chato

    Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini. Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
  19. Askofu Kanisa la Anglikana akutwa amekufa baada ya kutoweka siku tatu

    Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu amekutwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Marehemu alitoweka tangu Novemba 28 na mwili wake kukutwa ukielea katika Ziwa Victoria eneo la Bukumbi Wilayani Misungwi. Akizungumza na...
  20. Maandamano Iran: Mpaka sasa wamekufa 83, maandamano yanaendelea, wamechoka uonevu wa kidini

    Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya kidini iwaue wote. ===== Iranians have defied crackdowns and showed up for protests in cities...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…