Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!
David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!
Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa...
Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
Jijini Dar es Salaam, mwezi wa nne mwaka huu Padri wa Shirika la White Fathers, Kanisa Katoliki, alitoweka na mwili wake kukutwa kwenye tank la maji akiwa hana uhai.
Padri huyo alikuwa ni Raia wa Zambia. Jijini Mbeya, mwezi huu Padri mwingine wa shirika hilo hilo kutokea Malawi alitoweka na...
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai.
Hichi kinachoendelea ni matunda ya tabia ya Magufuli mwenyewe ya kupenda kusifiwa tu huku akiwadhihaki watangulizi wake...
Kwema Wakuu!
Hakuna atakayemsema Hayatti Magufuli akapata Faida yoyote Ile, zaidi nawaona wanaomkosoa hasa viongozi wakipata uharibifu mkubwa na kujenga chuki mioyoni mwa wananchi wa chini.
Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa...
Ndugu zangu nyote hamjamboni?
Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake
Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe
Mungu awabariki Sana
✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji...
Wimbi la mauaji limeendelea kuzitesa familia za baadhi ya Watanzania baada ya Polisi mkoani Mtwara kuthibitisha mauaji ya madereva bodaboda wawili ambao miili yao imepatikana pamoja na baadhi ya viungo vya mtu mwingine katika pori la Kijiji cha Hiari wilayani Mtwara
Akizungumzia matukio hayo...
Wakuu Kwema!
Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani.
Mwaka Jana niliota ndoto ya namna hii hii lakini nikashindwa kuipandisha hapa kutokana na sababu...
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
Mimi Ni mzaliwa wa Arusha. Baba yangu alifariki nikiwa na miezi 4 Tangu nizaliwe (hiyo ni mwanzoni mwa 1996, kwa umri huo simkumbuki mzee kwa sura). Ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya watoto kumi, wawili walishatangulia mbele ya haki na wawili hawajulikani walipo, walipotea tu kwenye mazingira...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.
Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro amesema watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 40-42 yaliyotokea katika mtaa wa Kanyerere kata ya Mkuyuni mkoani humo.
"Kando ya mwili wa marehemu kulikutwa ujumbe uliosomeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.