1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati.
2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam.
3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani.
(In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa)
Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park, Nairobi,kutangazwa serikali ya wananchi.
Nilikuwa nawasikia Radio One , Daressalaam,jana usiku...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa.
Pamoja na urafiki wa muda...
Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022
Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA?
Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
Wizara ya Katiba na sheria ni msimamizi wa majadiliano ,mikataba na maduala yote yanayohusu sheria. Kabudi alipokuwa Waziri alikuwa mshauri Mkuu wa mambo haya. Kutumbuliwa kwake means ameshindwa kutekeleza Wajibu wake.
Najiuliza, kazi mpya anayoyokwenda kufanya ataifanya bila kuelekezwa au...
Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa.
Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote alilofanikiwa kwenye Wizara hiyo na baada ya kumuunga mkono Lowasa chama kikamkataa.
Akazunguka kidogo Kwa...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana.
Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa kwanza kugundua madudu ya huko, infact hata Kassim Majaliwa kipindi cha Magufuli anrwahi kugundua...
Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania.
Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse.
Nani kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.