amkeni

Amkeni is an album by Burundian singer-songwriter Bukuru Celestin and the jazz fusion group Snarky Puppy that was released in 2013. It is the first of two cooperative albums by Snarky Puppy and other performers that were recorded at the Jefferson Center in Roanoke, Virginia in 2013, with the second being Family Dinner – Volume 1.

View More On Wikipedia.org
  1. marehem x

    Stend ya daladala Mbezi Louis ifikiriwe, UBUNGO manispaa amkeni

    Jamani ifike wakati kuwe na mapaparazi wa maeneo nyeti yenye matukio na mazingira hatarishi. Stend ya daladala ilengwe itajwe kama eneo sensitive. Kuna msongamano mkubwa sana wa binadam. Na vyakula mbogana vitoweo vikiuzwa eneo hili ni hatari sana na magonjwa ni rahisi sana kusambazwa jiji zima...
  2. Shujaa Mwendazake

    BOLT amkeni , madereva wenu wameanza kuwa matapeli na wameanza kuwachafua

    Dereva siku hizi anazima data akifika mbele anajifanya haoni kitu kwa System so anataka mkadiriane bei. Mwingine zile discount za mteja mpya wanakataa wakidai Bolt ofisi zimefungwa hapa nchini. Kuna wakati kama mtumiaji hajielewi au haijui sehemu , dereva anachukua simu ya mteja kama...
  3. The Burning Spear

    Watanzania amkeni CCM haiko serious na maisha yenu

    Tanzanian tukiendelea na kulala huku tukisikiliza ngonjera za CCM. Tutatengeneza familia maskini kupindukia huku familia za wanasiasa mambo yao yakiwa mazuri. MTU akikunyima hela kakunyima Uhuru utabaki mtumwa na ombaomba kila siku. Yale yanayoendelea Nchini na Majibu yanayotolewa na CCM ni...
  4. mama D

    Vyama vya Siasa nchini huu ndio wakati sahihi wa kutafuta ushindi wa kura za Uchaguzi wa Mkuu wa 2025, amkeni!

    Habari za asubuhi Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea. Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...
  5. system hacker

    Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  6. Rusumo one

    Mandonga anaua huu amkeni

    Amkeeniiiiii
  7. Suzy Elias

    Kwanini kuwa na double standard? CHADEMA amkeni na acheni upoyoyo

    Video hapo juu ni mapokezi (maandamo) ya Zitto huko Tunduru na Polisi kabla ya hapo wali-fake kumzuia Zitto na baada ya simu moja ya maelekezo kusanyiko lile liliendelea na habari zake kama mnavyoona. Hoja hapa ni kwanini jambo fanani na hilo likifanywa na Chadema huzuiliwa tena kwa nguvu ya...
  8. Boss la DP World

    Nimekula mbususu kwa mkopo

    Leo nimekuja Mwanza kikazi, baada ya kufika nikachukua chumba lodge x, nikaenda gereji kufanya service maana keshokutwa narudi Morogoro. Nikiwa pale gereji nikajaribu kudodosa kujua ntapataje company, fundi mmoja akanipa connection ya Telegram.😂 Nikawasiliana nayo ikanipa gharama zake na chumba...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Watanzania amkeni, viongozi hawana huruma na wananchi

    Habari! Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi. Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano mmoja tu ili mjue kuwa serikali hii haina huruma na mwananchi. Mwaka huu serikali ilikuwa na zoezi...
  10. E

    Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

    Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
  11. Komeo Lachuma

    Amkeni mdai nyumba yenu. Mkija shtuka mtakuwa mmechelewa, pengine mnadhani kwa sasa mpo salama

    Nikikuuzia au kukupangishia haka kakiwanja utanipa sh. ngapi? watoto watalalamika lakini mwishowe yataisha we kama unapapenda hapa sema tuongee bizinez. na wao nitawaambia hii pesa tunafanyia ukarabati wa nyumba au kulimia.nitawapa kiasi kidogo lakini mambo mengine tunamalizana" Mama wa kambo...
  12. Pdidy

    Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  13. Hance Mtanashati

    Amkeni amkeni! Canelo kapigwa hukoo

    Jamani eeeh kale kajamaa kanachojiita Canelo kamepigwa kipigo cha mbwa koko 🤣🤣🤣🤣 Kalikuwa kanajiona kameshamaliza kila kitu mpaka muda mwengine kanadhani kana uwezo wa kumpiga Money May😅😅😅😅😅😅. Angalau makelele yatapungua na zile tambo kwamba yeye ni bondia bora kuliko Floyd Mayweather...
  14. Mawematatu

    Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  15. M

    Viongozi wa yanga kwenye hili la timu ya wanawake mmelala usingizi wa pono amkeni mnatuaibisha

    Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Ulevi na uzinzi vimemaliza vijana. Amkeni vijana mtakwisha

    Habari! Ninaposema vijana wazinzi na walevi mtakwisha simaanishi kuwa mtaiacha dunia na kutuacha sisi ambao hatufanyi uzinzi na hatulewi. La hasha, namaanisha nguvu kazi inapotea, vijana wanakufa wakiwa wabichi, heshima na utu wa vijana umeondoka katika jamii kwasababu ya pombe na uzinzi. Kivipi...
  17. Dr Matola PhD

    Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Makolo mulibwanji?😄😄 NAWEKA REKODI SAWA JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID? Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
  18. S

    Kodi halali ni VAT nyingine zote ni wizi, amkeni

    Ukweli usemwe kodi ya uhalali katika nchi nyingi ni ile inayopewa jina la VAT na hutozwa pale unaponunua kitu. Ila hapa Nyumbani Tz kuna mlolongo wa kodi zisizo na miguu wala kichwa ila zinameno na zinatumaliza wananchi. Unaenda kununua mfano luku ya umeme mle ndani mna tozo tatu kuna hiyo ya...
  19. R

    SoC01 Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

    1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
Back
Top Bottom