Saa chache tu baada ya Eliud Kipchoge kushinda mbio za Marathon huko Melbourne nchini Australia, Wakenya wameendelea kulitangaza taifa kupitia riadha ya kimataifa baada ya Amos Kipruto kutwaa ubingwa wa mbio za wanaume katika Chicago Marathon ya 2026, akimaliza kwa muda bora wa maisha yake wa...