Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali, mkadhani utani. Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu.
Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu.
Safi sana Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa,
Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu.
Najua Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.