amos makala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hongera Amos Makala kwa kuwafyeka panya road, sikukuu tulivu kabisa

    Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali, mkadhani utani. Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu. Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu. Safi sana Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.
  2. L

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  3. Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…