Amos Gabriel Makalla (born 16 September 1971) is a Tanzanian CCM politician and has been a Member of Parliament for Mvomero constituency since 2010. As of 2013, he was the Deputy Minister of Information, Youth, Culture, and Sports.Makalla received his Masters of Business Administration degree from Mzumbe University.
As of 2018, Makalla was Regional Commissioner for Mbeya.
Kwani mwana michezo Amos makalla kuna shida gani ndugu yangu , ghafla kubwa la machawa limeandika hivi? unahisi utatumbuliwa? kamati ya usalam mmeshindwa ku inflitrate hao watoto wa miaka 16 hata kuweka undercovers police wenye miaka 22 wa roll nao kwenye makundi yao? hata kuhonga baadhi yao...
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mhe. Amos Makala ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es salaam.
Huu Mkoa ni kitovu cha biashara kwenye nchi hii, huu mkoa ndio una image kubwa ya nchi kibiashara, wageni zaidi ya 90% wako Dar...
Juzi Mhe Rais wa JMT alitoa takwimu za jiji la Dar es Salaam kushika nafasi ya 6 kwa usafi Afrika ila kiukweli hali sasa imeanza kuwa ndivyo sivyo.
Zile jitihada za mwanzo tulizokuwa tunaziona zilizokuwa zinafanya jiji kuwa safi sasa hivi tunaona zinafifia,
Vibanda vinarudi pembeni ya...
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA?
Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI.
- Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan.
- RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
Nimesoma Dar, nimeishi Dar kabla sijahamia Mkoani Ruvuma, kusema kweli Dar imekuwa na sifa kuu 3
1. Uchafu
2. Mipango miji mibovu iliyopelekea ujenzi holela wa Makazi hadi maeneo ya biashara( vibanda vya machinga)
3. Joto na foleni za Barabarani
Namba tatu ni sababu zilizo nje ya uwezo wa...
Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie.
Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za...
RC wa Dar es Salaam Amos Makalla haimaanishi kuwa Umati mkubwa na Shangwe lao likija Kukusikiliza na Kukuona au kumuona Bosi wako Kitaifa uliyekuwa ukimpamba mno Jana Kigamboni, basi ni Ishara tosha kuwa wanakukubali na wanakupenda.
Zifuatazo ni sababu za Nyongeza za Umati mkubwa wa Watu...
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali.
========
Mkuu...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kutokana na kuchelewa kwa mvua za vuli maji katika mto Ruvu yamepungua na kusababisha upungufu wa lita milioni 70 sawa na 26%
Makalla amewataka wakazi wa jiji la Dar es salaam kutumia maji kwa uangalifu wakati tukisubiri mvua zitakazojaza mto...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam (RC), Amos Makalla ametangaza kuwa kila Jumamosi ya kila mwisho wa mwezi itakuwa siku maalumu ya kufanya usafi kwa wakazi wa mkoa huo.
Makalla ametoa agizo hilo leo Jumatatu Novemba 22, 2021 kwenye uzinduzi wa mkakati wa usafi na uhifadhi mazingira wa mkoa huo...
Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi.
Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
Kwako mkuu wa mkoa, ningependa kuzungumza na wewe kuhusu kamati yako ya kutatua migogoro iliyopiga kambi Mabwepande
Sidhani kama unajua kwa kina uhalisia wa hali ya huku kimazingira na haki za wakazi wa huku namna walivyozipata, kinachotaka kutokea wewe na ofisi yako ndiyo mtakuwa wahusika wa...
Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena!
Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta...
RC MAKALLA ALITANGAZA ENEO VOLCANO YA TOPE KUNDUCHI NI HATARISHI
- Asema eneo hilo halifai kwa makazi.
- Awataka Wananchi wa eneo husika kuchukuwa tahadhari.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope kuwa eneo la hatari na halifai kwa...
Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala umetoa matamko sana tangia ule kiapo cha kuwa Mkuu wa Mkoa, cha ajabu hakuna linalotekelezwa hata moja
1) Ulianza na machinga ukachimba biti weeeh mwisho siku hakuna lililotekelezwa.
2) Ukaenda kukagua mradi wa mwendo kasi Mbagala ukachimba biti ukatoa siku 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.