Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft.
Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina...