amri

Sanaa or Sanaʽa (Arabic: صَنْعَاء‎ Ṣanʿāʾ) is a governorate of Yemen. Its capital is Sanaa, which is also the national capital. However, the city of Sanaa is not part of the governorate but instead forms the separate governorate of Amanat Al-Asemah. The Governorate covers an area of 13,850 km2 (5,350 sq mi). As of 2004, the population was 2,918,379 inhabitants. Within this place is Jabal An-Nabi Shu'ayb or Jabal Hadhur, the highest mountain in the nation and the Arabian Peninsula.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Hawa wanaojinasibu kuwa CCM ni mali yao mbona ndio wanajihusisha sana na ufisadi hapa ncnini? Kagasheki ndio alitoa amri ardhi ya Ngorongoro ipunguzwe

    Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu. 👇🏿 Mwananchi › kitaifa CCM wamgeuka Waziri Kagasheki...
  2. MK254

    Jeneral wa Urusi nusra auawe na wanajeshi wake alipotoa amri ya ovyo

    Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
  3. BigTall

    Marekani: Rais Biden asaini amri itakayowawajibisha Polisi wanaowatesa raia

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji ya Georges Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa na afisa wa polisi mzungu. Mabadiliko hayo yanalenga...
  4. M

    Wamebana mwisho wamesalimu amri wote! Ni askari wa kinazi wa ukraine waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda chuma pale Azovstal-Mariupol.

    Putin alisema hakuna haja ya kuwaingilia huko kwenye mahandaki yao, bali fungeni njia kiasi ambacho hata inzi hawezi kupenya!! Na kweli bwana leo askari wote wamenyosha mikono na kutoka wenyewe! Yule kamanda wao alibebwa kwenye gari la deraya badala ya bus alipokuwa akipelekwa utekani...
  5. sky soldier

    Ni stress, kiburi au vichwa vigumu, kwanini watanzania wengi hupuuza amri kama "usikojoe hapa, usipite njia hii, abiria chunga mzigo wako

    Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa...
  6. BigTall

    Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
  7. Enkaly

    Putin alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki

    Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za kisheria. Hati hiyo ilitiwa saini "kulingana na hitaji la kuchukua hatua za haraka katika...
  8. Analogia Malenga

    Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
  9. 5

    Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri, ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri. Vikosi vya Urusi vinasalia...
  10. Mr Kactus

    Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

    Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela. Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi...
  11. Super Handsome

    Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  12. Pac the Don

    Mkuu wa Mkoa wa Mara apewa amri na mwananchi akitaka choo kianze kazi mara moja 😂

  13. MoseKing

    Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

    Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu
  14. ESCORT 1

    Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  15. Mzee makoti

    Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

    Wakuu habari, Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio, Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani, Polisi purukushani na Raia, Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja...
  16. chizcom

    Kwanini hawa Mama N'tile karibu na Kituo cha Polisi wanaongea kwa amri kama Polisi?

    Siku moja nikapita maeneo karibu na kituo cha Police. Hiyo sehemu ya kituo kwa karibu kidogo kuna mama ntilie wanauza chai na chakula cha mchana. Kufika pale yaani si unafahamu zile tabia za Polisi walivyo vituoni kama kujibu kwa zadhau, shurta, kujiskia sana wakiona uwanyenyekee. Basi...
Back
Top Bottom