Mume wangu ananipa Laki 5 k
Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na kuhudumia wadogo zangu. Yaani, hata ada za wadogo zangu alikuwa akilipa. Nyumbani kila mtu alifahamu...
Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi.
Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi..
Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
Nimeshangaa sana. Yaani mkuu wa upelelezi unapeleka kiapo Mahakamani ili mtuhumiwa asipate dhamana?
Primary objective ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao.
Sasa kama kuna watu wanahatarisha usalama wa Boniphace. Kwa nini hao watu wasikamatwe?
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu
Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa!
Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu...
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Kwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana 2017.
Ambapo katika mazungumzo hayo na Lissu muuguzi huyo ambaye anadai...
Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake
Nimelazimika kuuliza swali...
Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.
---
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:
"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha...
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World.
===
Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
Kwa wale wenye familia na ambazo huwezi kuona namba mpya ukaipuuza kutokana na watoto na familia pale uwapo nje au safari. Eti unaona mtu ana beep🎼📞. Sometimes anakutext kabisa. Kuwa ...."Nipigie."
Nachukia sana tena anaandika nipigie...heck. Unapiga anadai eti nimekosea namba.
Mimi: Uwe...
Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo.
Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga.
Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!
Matokeo ni haya hapa:
Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3)
Final results from IEBC
Candidates
Vote
William Ruto
50%
50.5%
7,176,141
Raila Odinga
48.8%
6,942,930
Other Candidates
0.6%
93,956...
Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi""
Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta.
Sasa huyu bibie ana sherehe kadhaa kwa mwaka na zote zinataka zawadi, valentine day, girlfriend day, women...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.