anadai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Ndugu yangu nimemtafutia kazi mshahara laki 3, anaikwepa, nimefowadiwa meseji zake anadai ninamnyanyasa. Nifanye nini?

    Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi. Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi...
  2. Myebusi Mweusi

    Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
  3. U

    Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

    CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo, kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
  4. kikoozi

    Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  5. Idugunde

    Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

  6. B

    Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi kutokana na mawazo yenu na mawazo yangu kwa pamoja. Mimi ni kijana na nipo kakika mahusiano ya na...
Back
Top Bottom