Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.
Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa...
Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu?
Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
Pendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi.
Kila la heri Lunyasi
Wakuu,
Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali.
Ambapo, baada ya...
Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna...
Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko.
Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
Ni wazi kwamba kifo kipo na kitatokea kwa kila mtu. Kwa asili, kifo sio jambo baya; ila jambo baya ni, namna kifo kinavyotokea na pia kushindwa kujua kwa uwazi nini kinaendelea baada ya mtu kifo.
Tunapata uchungu na huzuni mkubwa ndugu zetu wanapokufa si kwa sababu ya kifo chenyewe isipokuwa...
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.
Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na...
Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi Mwinyi akiwa Madarakani.
Kati ya Marais walioingia madarakani baada ya Mwalimu Kung'atuka yaani Ally...
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Naomba kufahamishwa kwa uchache tu.
Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti.
Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA
Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali panapokuwa na tatizo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Hii ndiyo maana ya uwajibikaji. Kukosekana...
KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI?
Anaandika, Robert Heriel
Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.
Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU.
"Natamani nikipata mtoto...
Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii.
Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.