Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango...
Ninaandika kwa mwandiko wa machozi mengi baada ya kushuhudia kilichotokea Bukoba ziwani namna tulivyoshughulika kuokoa watanzania wenzetu na hata wengine kupelekea kupoteza maisha Sitaki kujikita sana huko maana tuko siku nyengine mpya. Je hii inchi yetu. Imekosa kweli vifaa vya uokaji?
Mpaka...
Kiukweli DJ Khaled ni kati wa wadau wachache wa mziki wa rap wanaoitendea haki hii tasnia. Kama wewe ni mpenzi wa rap ile style ya miaka ya 90s hadi early 2000s basi utakubaliana na mimi.
Jamaa huwa anatufungashia sauti za legends wa rap zinazotoa mashairi yenye vina vilivyopangiliwa kwa...
Katika maisha kuna hali tofauti tofauti. Hali zingine ni kutokamilika kwetu, au kujisahau kwetu.
Kwa tulipofikia sasa si kila mtu anastahili kuonewa huruma na kusaidiwa na jamii. Wakati mwingine ni mavuno ya alichopanda. Hebu fikiria hii;
1. UHALIFU
Ulikuwa mwizi, umewaibia watu sana...
Ushauri wangu kwa raisi ni "unahitaji mtu kama Mtaka kuongoza tume ya mipango ndipo uongozi wako utaleta mabadiriko chanya katika jamii"
Shida kubwa ya wataalamu wengi hukimbilia kwenye formula, kanuni n.k lakini hawajui wanatakiwa kuanzia wapi na kuishia wapi.
na kuna watu wako na very good...
Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA
Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi!
Twende na Mandonga...
MWANAUME ANAYEMPENDA/MTHAMINI MCHEPUKO KULIKO MKE WAKE NI MSHAMBA NA ANASHTAHILI KUDHARAULIWA.
Anaandika, Robert Heriel.
Haijalishi Mke anamapungufu gani bado atabaki kuwa Mkeo na ndiye uliyemchagua Kwa hiyari yako.
Kama Mwanamke anakusumbua Kwa tabia mbofumbofu ni Akheri umfukuze/mpe talaka...
JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa...
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na Symbion, bilioni 70 za mkataba wa maendeleo ya tehama Tanesco na Mahindra ya India, mkataba mpya...
Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana!
Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa...
Za mchana wakuu,
Kuna dogo kaibuka na haya matokeo
M
25
III
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
Nishaurini,
Anapaswa kusomea nini na wapi?
''Together we always stand''
Rais Samia,
Ukweli ni kwamba kama kiongozi hajiheshimu hastahili kuheshimiwa hata kama kiongozi huyo ni wewe.
Kila kiongozi kwa nafasi yake ni Taasisi. Kama anadharaulika basi hata taasisi anayoongoza itadharaulika. Hakuna namna nyingine yoyote.
Mh. Samia, wewe ni Rais wa nchi haijalishi...
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.
No doubt for this.
She's working hard.
Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.
Uzi umeishia hapa. Ova
Wanabodi,
Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huja kwa mtindo wa swali, halafu jibu utatoa wewe msomaji...
Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara,
Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
NAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.