Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo.
Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam. Anasoma shule ya secondary makumbusho kidato cha tatu. Kwa yoyote atakaye muona tunaomba atoe taarifa...
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu
Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2
Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo,
Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA.
Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake.
Alikuwa amevaa gauni la bluu...
shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi.
makazi ni shambani hapo hapo.
shamba liko kigoma
wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30.
kwa mwenye uzoefu wa usimamizi mashamba makubwa
akiwa na taaluma ya kilimo na mifugo au Agro...
Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka.
Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza 🤝 lakini popote tutazungumza tu.
Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali.
Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya. Hizi hapa tekenya zimeisha muda wake badala ya kuzichoma hebu tufanye upcycle.
Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa kutoa ahadi za mapumziko ya kifahari kwa raia wa Poland, ambazo ni za uongo
Mamlaka za ndani zimedai...
Ndugu zangu:
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam.
Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni.
Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika
maisha...
Anaitwa Prosper Theonas Mnjari, anatafutwa alichukuliwa nyumbani kwake Chamazi Mbagala tarehe 2/8/2024 saa 5 asubuhi na watu waliojitambulisha Tanesco, toka walivyo mchukua simu ilizimwa haipatikani na hajaonekana, niwaombeni ukimuona au kuwa na Taarifa zozote kumuhusu tafadhali wasiliana na...
Wasaalam.
Kutokana na pigo nililopigwa Leo! Nimebadilisha msimamo. Natafuta mwanamke angalu mwenye mtoto mmoja wasizidi wawili.
Hope huyu atakuwa ashapigwa matukio ya kutosha! Na Mimi pia. Utakuwa ni mwanzo wa kupeana pole, Na kuyasahau ya nyuma.
Single mothers karibu DM tuyajenge! Ukiwa...
Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant.
Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa.
Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya.
NB; NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
Pharmacist anatafutwa.
Requirements: Awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia
Location: Dar es salaam
Payment: 800,000Tsh
Contact: 0782121208
Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa.
Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo.
Wakipatikana mtujuze basi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.