Habarini wanajamvi.?.
Jana katika ziara ya kikazi kijiji cha Matanga - Kongwa Dodoma, nilikutana na huyu mama, katika maongezi yetu aliniomba kumsaidia kumtafuta binti yake anayeitwa SEMENI BUNDALA waliachana naye muda mrefu sana, baba wa mtoto anaitwa BUNDALA NDUNG'O MANYELE (Maarufu kama...
Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
1. Nimepewa kazi ya kumtafuta mining Sorveyour mwenye uzoefu usio pongua miaka 2 akiwa kwenye mining industry.
2. Nikimpeleka mimi hatokua na usaili kwasababu ninaaminiwa na General Manager.
3. Atafanya kazi kwenye mgodi mdogo na mpya ambao ndio unaanza.
4. Mshahara hautopungua 1.5M...
Natafuta mwalimu Fresh from school katika somo la Kemia na Mathematics (O-level) awe mbeya mjini na awe na utayari wa kufanya kazi bila kusukumwa na mwenye uwezo wa ku cope na wanafunzi wenye uwezo tofauti tofauti.
MAWASILIANO: 0620257513
Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk.
Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo.
Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia.
contact 0628501029
Asanteni.
Wakuu habari za mida hii,
Naomba kwenda kwenye maada tajwa hapo juu:
Namtafuta mtu huyu kwa Jina lake halisi ni Peter Mwakatundu nimepotezana nae miaka kadhaa nyuma, kwa kumbukumbu ya machache ninayokumbuka.
Tuliwahi abudu pamoja nae kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.