Habarini wanajamvi.?.
Jana katika ziara ya kikazi kijiji cha Matanga - Kongwa Dodoma, nilikutana na huyu mama, katika maongezi yetu aliniomba kumsaidia kumtafuta binti yake anayeitwa SEMENI BUNDALA waliachana naye muda mrefu sana, baba wa mtoto anaitwa BUNDALA NDUNG'O MANYELE (Maarufu kama...