anayopitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Una kipi cha kumshauri Tajiri Chui katika magumu anayopitia ?

    Angalia pia https://youtu.be/53MhmoFZAN4?si=xlqIQQBbe9T22_kH
  2. B

    Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

    “Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi...
  3. Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  4. Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!! Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...
  5. T

    Je, unayajua anayopitia mchungaji wako?

    KAZI YA KUCHOSHA, LAKINI INAONEKANA KAZI YA UVIVU Mchungaji - Hakuna anayejua: Mchungaji anasikia nini, Anachokiona, Siri anazopaswa kuzihifadhi, Majaribu anayokutana nayo, machozi anayomwaga, Huzuni anayovumilia, Upweke anaousimamia, Uchungu anaoupata; Uongo anaoelekezwa na baadhi ya watu...
  6. Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…