Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada,
Namzungumzia mshikaji wangu, ambaye sio member wa humu ila alinijia kuomba ushauri. Mshikaji anasimulia.... "Kabla ya kumuoa huyu mwanamke nilikuwa tayari na mtoto ambaye nilipata na dada mmoja, mtoto huyo yulo hukona mama yake. Kabla ya kunfahamu huyu dada ambaye kwa sasa ni mke alikuwepo kwenye mahusiano na mdada ambaye wameishi naye pika pakua kipindi akiwa Chuo. So baada ya kumaliza chuo tulitengana na kila mmoja akaanza kuishi maisha yake na ndipo nilipokutana na huyu dada ambaye niliona ananifaa kurafiki na Mwenza wa Maisha. Leo hii tuna kama miaka mitano na mmoja na nusu wa mahusiano. Hivi ndoa yetu ina miaka mitano kuelekea wa sita, hatujabahatika kupata mtoto. Harakati za kupima na kutafuta suluhu ya changamoto hii zimeanza toka tulipotimiza miaka mitatu bila mke kushika ujauzito. Baada ya uchunguzi wa kitaalam ilibainika kuwa sina mbegu kwenye manii jambo ambalo sikuwahi kuliwaza kama nitakua nalao. Tulipewa dawa ambazo zinaweza kusaidia kurejesha uzalishaji wa mbegu. Nimetumia dawa kwa muda kama miezi mitatu nikaenda kufanya control kama ambavyo Daktari wa Afya ya uzazi ya mwanaume..Andrologist). Tulianza na hospitali ya hapa mkoani kwetu baadae nikapewa rufaa kwenda KCMC na huko tukakutanishwa na Daktari bingwa ambapo naye pia aliagiza vipimo vifanyike vikafanyika na majibu yakaja yale yale kama huko tulikotoka. Daktari alitupatia dawa za kwenda kutumia. Nimefanya hivyo mara kadhaa bila mafanikio. Mke wangu baada ya changamoto hii kudumu kumekua na kauli ambazo anazitoa zinanifanya niwaze kama kuna kuna Tukio nitapogwa.. Moja ya kauli yake pendwa kuizungumza ni kwamba kama shida itaendelea hivi mimi nisije kulaumiwa kwa maamuzi nitakayochukua. Huku akitaja hofu yake kubwa ni kufika miaka 30 hajapata mtoto anasema anaogopa kupata shida kupata mtoto mwenye shida ya akili kwa Sababu kachelewa kupata mtoto." Hii hali imekuepo na kuna muda migogoro ndani haikawii kuingia hata kwa jambo dogo mtu anakujibu kwa hasira au anakasirika ovyo." Baada ya kusimuliwa hivyo nikamuuliza maswali haya
1. Je show unapiga kama kawaida mzee baba?
Akajibu: Show napiga tena siku hizi nachelewa kumwaga na kuna muda round ya pili hadi nahisi kuchoka kabisa mashine iko moto ila Orgasm sipati. Na ikitokea nimeko**oa manii inatoka kidgo sana.
2. Je umewahi kwenda upande wa pili kutafuta majibu juu ya jambo hili
Akajibu: Ndio nimeenda kama mara tatu au nne na baada ya hapo sijataka kwenda huko maana sijapata mafanikio yoyote. Kwa mwamposa nimehudhuria pale Tanganyika peckers na Makongamano mengine aliyofanya hata hili la juzi kati na Vuka na chako sijafanikiwa. Watu wanatoa shuhuda ila Mimi bado.
Akaniuliza swali: Kwa kauli za shemeji yako nitakua na makosa nikitafuta Plan B just in case akiamua kufanya au kutekeleza hicho anachofikiria kukifanya kwani Sijui ni Lini Mungu atanirejeshea uwezo wangu wa kutungisha mimba. Naleta kwenu, najua humu kuna psychologists, therapist na wazoevu wa mambo haya hivyo sirakosa cha kumwambia nitakapokutana naye tena.