Unamshauri nini huyu Ndugu kuhusu Changamoto hii anayopitia kwenye Ndoa yake?

Unamshauri nini huyu Ndugu kuhusu Changamoto hii anayopitia kwenye Ndoa yake?

Hapo option nzuri isiyoleta mgogoro ni kufanya IVF Japo ina changamoto ya gharama kubwa.

Jamaa awe mpole tu, tatizo likiwa kwa mwanaume option ni IVF tu labda kama atakubali atafte Surrogate father kitu ambacho ni kigumu zaidi kuishi nacho moyoni.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-04-09-14-52-42-650_org.mozilla.firefox-edit.jpg
    Screenshot_2025-04-09-14-52-42-650_org.mozilla.firefox-edit.jpg
    198.9 KB · Views: 29
Back
Top Bottom