andrew tate

  1. BARD AI

    Mamlaka za Romania zashikilia Mali za Tsh. Bilioni 9 za Andrew Tate

    Mamlaka Nchini Romania zimekamata mali na pesa zenye thamani ya Tsh. Bilioni 9 kama sehemu ya uchunguzi wa uhalifu kuhusu madai ya biashara haramu ya binadamu ambayo ilisababisha kukamatwa kwa Andrew Tate. Wakala wa Kitaifa wa Kusimamia Mali Zilizokamatwa amechukua mali 29 zinazohamishika...
  2. BARD AI

    Mfahamu Andrew Tate, mtu anayetafutwa sana duniani kupitia Google

    Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa. Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na kipawa kikubwa cha ufasaha, Mmarekani mwenye asili ya Uingereza mwenye umri wa miaka 35 ambaye anaishi...
Back
Top Bottom