angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. Choosen85

    Angalia sifa zangu hizi kama una kazi naiomba

    Elimu ni shahada ya kwanza ya sayansi ya siasa na utawala wa umma. Nimefanya kazi sekta binafsi shuleni, kampuni, shirika lisilo la kiserikali Huko nimepata uzoefu wa kazi mbalimbali kama ifuatavyo. Naweza kuandaa na kuandika project proposal Kuandika business plan/proposal Kuandaa na kuandika...
  2. chiembe

    Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

    Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi. Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni? Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  3. M

    Kocha Mkwasa tulikushauri upumzike kuwa Kocha hukutusikia, sasa angalia Ulivyojidhalilisha kwa huu Upuuzi ufuatao

    Kocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana... "Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile" Kocha Mkwasa baada ya Ruvu Shooting yake kucheza na Simba SC Jana. "Tumefungwa kwasababu ya Uchovu...
  4. Me too

    Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

    mimi 111😂😂😂
  5. Guselya Ngwandu

    Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

    Kabla jua halijazama niseme hili; Ukitaka kutambua jamii Fulani inajitambua, basi tembelea Maeneo Yafuatayo; 1. Makazi Yao. Makazi Yao yapo kwenye mpangilio. Kuna miti ya kutosha ya hewa, Bustani na Maua yakupendeza. Kuna sehemu maalumu za kuhifadhia taka, pia Choo kipo cha kiungwana. Makazi...
  7. dubu

    IGP Sirro, angalia Polisi wako wa Arusha Wanavyo lazimisha Rushwa kwa Kushirikiana na Mgambo

    TUKIO LA WAANDISHI WA HABARI KUKAMATWA NA KUPEWA KESI YA MCHONGO ARUSHA. Waandishi wa Habari wawili wa vyombo vya Habari tofauti mmoja Korumba Victor Moshi na Wa Global Tv na Alphonce Kusaga Wa Tripal A Redio wote wa Mkaoni Arusha walikamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha wakiwa wanafatilia...
  8. MALCOM LUMUMBA

    Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Utani ni mzuri na mtamu lakini angalia unayemtania

    UTANI NI MZURI NA MTAMU LAKINI ANGALIA UNAYEMTANIA. Anaandika Robert Heriel. Sisi wengine tumezoea matani, tumezoea kutaniwa, kudhihakiwa, kukejeliwa, hata kuzomewa piah. Mtu aliyebobea kwenye matani hayo kwake ni mambo madogo kabisa. Sisi tuliozoea utani tunamiiko yetu, tunajua mipaka yetu...
  10. Kichuguu

    Angalia Tangazo hili

  11. Da Vinci XV

    ANGALIA OMBAOMBA HUYU ANAVYOCHOKONOA WENYE DINI

  12. Kasomi

    Angalia matiti uongeze umri

    Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke? hapana Umekosea ,sivyo unavyofikiria? Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia...
  13. patience96

    Angalia Picha Hii Kwa Makini Kisha Elezea kama ni Murder au Suicide

  14. V

    Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
  15. Merci

    Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Wale wapenzi wa boxing unaweza kuangalia sasa pambano la Canelo vs Plant kupitia link hii Boxing : Canelo Alvare vs Caleb Plant - HesGoal.Com Sports News
  16. Meneja Wa Makampuni

    Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya

    Ukiwa Tanzania vijiweni Utasikia wazungu walituletea dini ili kutudanganya😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Angalia haka katoto kakizungu. Kama hujaokoka hapa utaabika tu.
  17. C

    Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

    Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari...
  18. BLUE BALAA

    Mashirika kama TTC sioni sababu kwanini lisiizidi Vodacom na Airtel au kwanini Posta lisiwe zaidi ya DHL

    Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa...
  19. Maneno Meier

    Rais Samia, nakuomba angalia upya Mradi wa BRT Dar

    Niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya leo ninayotaka kuizungumzia. Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu, nakuomba chonde chonde kuuangalia upya mradi wa BRT unao endelea kujengwa jijini Dar es salaam. Kwa uzoefu mkubwa nilio nao na analysis yangu ndogo niliyo ifanya naona kuwa huu mradi...
Back
Top Bottom