Habari wana jukwaa,
Ni mjadala huru kwa wafanya biashara wa dhahabu nchini, wakubwa kwa wadogo.
Ni kama swali hivi, kumekuwepo na kuporomoka kwa soko la dhahabu kwa kipindi cha takribani ya miezi miwili mfululizo na matumaini ya kupanda kwa dhahabu kwa mda mfupi ujao hayaonekani kiukweli, je...