Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.
Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub...
Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi.
Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani.
Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo masikini wanapokosa msaada wa chama tawala ili kuwalinda dhidi mafisadi na wakora wa malk ya umma basi...
SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO.
Anaandika Robert Heriel.
Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini.
Walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na...
Ni takribanai wiki 2 kasoro tangu video ya Kiba itolewe lakini tumeshangazwa kuona mfalme (kama ajiitavyo) katoa kaze 2 mfululizo (jealous & ndomboloo) ila kashindwa kutetea kwa vitendo kiti chake walau kwa kushika namba 1 kwenye trending videos za youtube, Ni ajabu na wengi wamebaki vinywa wazi...
Wadau wa soka Tanzania salami kwenu.
Kwa waliofuatilia press mbili , moja ya Mo Dewji siku anaonesha Hundi ya Bilion 20 na press ya Leo ya Semaji Lao Haji Manara watakuwa wameona kitu kinaenda kutokea Msimbazi na anguko Lao lipo jirani Kwa sababu zifuatazo.
1. Uwekezaji wa Mo Dewji pale Simba...
Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi kikubwa. Leo nami napenda nitoe mchango wangu kuhusu uhusiano kati ya ubepari na athari zake kwenye...
Naliona anguko kubwa la utawala huu.
Wamejitenganisha na uzalendo wa Rais Magufuli aliokuwa nao kwa nchi wameanza kuchezea nchi.
Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na ukorofi wa kutopenda kukosolewa ila asingeweza kuruhusu ujinga huu.
1: Tozo kwenye simu (double taxation)
2: Tozo kwenye kila...
Habari wakuu bila shaka leo ndio tarehe yenyewe yaani mabadiliko ya miamala kwenye mifuko ya simu yameanza kutumika.
Bila shaka kila mtu ambaye anafanya miamala kwenye simu amekumbwa na hilo pia najua limewasikitisha na hapo ndo maana halisi ya neno la Rais Samia kwamba wampe mda ajenge kwanza...
Mwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini maandalizi muhimu yakafanyika chini yake.
Kwa ulaghai na kwa udanganyifu wa kidola ktk uchaguzi mkuu...
Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa.
Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya.
Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
Kwema Wakuu!!
Masalia wa adui zangu mjiandae. Katika sherehe za Mwezi wa Damu, ambazo zitaanza 09August na kuisha 10November.
Sherehe zitavurumushwa Kwa miezi mitatu mfululizo.
Masalia wa adui zangu mjiandae, code zenu zipo tayari, mafaili yenu yapo juu ya meza hapa.
Sare zitakuwa mavazi...
Wakuu poleni na harakati za maisha.
Mpaka kufikia mwaka 2018 maisha kwangu yalikua tambarare kabisa, sikua na uchumi wa juu lakini nafikiri nilifikia uchumi wa kati wa juu. Biashara ya kuingiza pesa kila siku ambayo niliisimamia mwenyewe na nyingine hizi za kuleta hesabu kwa wiki kama boda boda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.