Aliyekuwa Waziri wa Mambo Ya Ndani, Fred Matiang’i, alihudhuria ibada katika kanisa la Jesus Is Alive Ministries (JIAM) jijini Nairobi jana Jumapili Oktoba 11, 2026 ambako Askofu Margaret Wanjiru alimpaka 'mafuta matakatifu' katika tukio lililovuta hisia za kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...