Beki wa Manchester United, Harry Maguire alipewa vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana walipomwambia wanampa saa 72 ajiondoe klabuni hapo au asubiri kifo kwa kulipuliwa na bomu.
Ujumbe huo ulitumwa kwake kwa njia ya barua pepe wakati akiwa mazoezini baada ya United kufungwa mabao 4-0 na...
Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma.
Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa.
Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB.
Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV:
“Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
Habari ya muda huu wakuu.
Guys kama umetoka na mtu au mmetoka kama group, usikubali au msikubali mmoja wenu aondoke na mtu msiyemfahamu in any means.
Binadamu siku hizi hawaaminiki, kuna risk sana.
Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake...
Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka.
Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga.
Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao.
Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni.
China watahakikisha wanatumia kila namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.