aondoke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Karia hana uwezo wa kuendesha soka, aondoke tu

    Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka Jamaa amekaa kihasira. Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
  2. Wasiojulikana wamtisha Maguire kuwa aondoke Man United ndani ya saa 72 au auliwe

    Beki wa Manchester United, Harry Maguire alipewa vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana walipomwambia wanampa saa 72 ajiondoe klabuni hapo au asubiri kifo kwa kulipuliwa na bomu. Ujumbe huo ulitumwa kwake kwa njia ya barua pepe wakati akiwa mazoezini baada ya United kufungwa mabao 4-0 na...
  3. Oscar Academy: Baada ya Smith kumpiga Rock, aliombwa aondoke akagoma, tutachukua hatua za kinidhamu dhidi yake

    Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa. Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
  4. Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

    Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV: “Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
  5. Ukienda na mtu bar usikubali aondoke na mtu usiyemjua

    Habari ya muda huu wakuu. Guys kama umetoka na mtu au mmetoka kama group, usikubali au msikubali mmoja wenu aondoke na mtu msiyemfahamu in any means. Binadamu siku hizi hawaaminiki, kuna risk sana.
  6. Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  7. Nauchukulia ubingwa wa Simba kuwa sadaka ya kumfanya Manara aondoke; alikuwa mwiba kwetu Yanga

    Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka. Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
  8. Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

    Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga. Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao. Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
  9. K

    Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

    Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni. China watahakikisha wanatumia kila namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…