Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na athari nzito zilizosababishwa na maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Amesema hayo usiku wa Novemba 28, 2025...