PostGE2025 Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na athari nzito zilizosababishwa na maandamano ya Oktoba 29, 2025.

Amesema hayo usiku wa Novemba 28, 2025 katika burudani ya amani iliyofanyika Soko la Nyama Choma Kumbilamoto katika kata ya Vingunguti wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam akibainisha kuwa maandamano hayo yalisababisha vifo, uharibifu wa mali za serikali na binafsi pamoja na kusimama kwa shughuli za kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Simbachawene ameonya kuwa kuna taarifa za mipango ya maandamano mapya yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, 2025, akisisitiza kuwa Serikali haitaruhusu kutokea kwa vurugu nyingine na kuwaomba wananchi ‘kutotumika na kuchochewa kurudia makosa yaliyopita’.

Akirejea athari za maandamano ya Oktoba 29, Waziri Simbachawene amewataka vijana kufahamu gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu, ikiwemo kuchoma vituo vya mabasi ya mwendokasi- mradi alioutaja kuwa umejengwa kwa ajili ya wananchi wasio na uwezo wa kumiliki magari. Amefafanua kuwa miradi hiyo inagharimiwa na kodi pamoja na mikopo ambayo vizazi vijavyo vitapaswa kuilipa.

Akizidi kusisitiza umuhimu wa amani, Waziri Simbachawene amesema Tanzania inaonekana kuonewa wivu kutokana na mafanikio yake, hivyo wananchi wanapaswa kuepuka kuvuruga misingi ambayo imeijengea nchi heshima na utulivu wa miaka mingi. Ameongeza kuwa baadhi ya majirani wa Tanzania wamekumbwa na migogoro kwa muda mrefu, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kujifunza kutokana na changamoto za mataifa hayo.

“Na leo hii nilikuwa na mkutano mkubwa sana wa utatu kati ya Tanzania, Burundi na UNHCR (Shirika la kuhudumia wakimbizi duniani), tunafikiria namna ya kuwarudisha wakimbizi wale wa Burundi kurudi kwao maana wamekaa hapa karibu miaka 40…sasa tunafikiria warudi kwao kwa sababu masharti ya ukimbizi yameisha hawataki kuondoka, tunafikiria kutumia ushawishi wa nguvu ili waweze kuondoka. Kama wakimbizi hawataki kuondoka kwetu halafu sisi hatuienzi na kuiheshimu amani ya nchi yetu tutakuwa sisi ni wajinga wa mwisho".
1764406361591.png

Chanzo: Jambo Tv
 
Mimi nafikiri huyo Simbachawene angesema jeshi la polisi litoe kibali mapema ili wananchi waandamane kwa amani na kutoa malalamiko yao pasipo kufanya fujo, au polisi kuwaua hovyo kwa risasi za moto.

Na siyo kupiga marufuku, au kupinga uwepo wa hayo maandamano! Maana sheria inaruhusu watu kuandamana.
 
View attachment 3509173
Chanzo: Jambo Tv
Kwani nani kasema kuna vurugu wakati ni maandamano ya Amani
 
Unaonya kama nani, tutafanya amani wauwaji wakiwa na minyororo miguuni na mikononi na kichwani
TUTAFANYA AMANI NA MAFUVU ☠YA SAMIA NA FAMILIA YAKE YOTE NA MAFUVU YA KIKWETE NA FAMILIA YAKE YOTE ☠ MAFUVU ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE YOTE... SIYO NA WAHALIFU WALIO HAI
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na athari nzito zilizosababishwa na maandamano ya Oktoba 29, 2025.

Amesema hayo usiku wa Novemba 28, 2025 katika burudani ya amani iliyofanyika Soko la Nyama Choma Kumbilamoto katika kata ya Vingunguti wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam akibainisha kuwa maandamano hayo yalisababisha vifo, uharibifu wa mali za serikali na binafsi pamoja na kusimama kwa shughuli za kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Simbachawene ameonya kuwa kuna taarifa za mipango ya maandamano mapya yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, 2025, akisisitiza kuwa Serikali haitaruhusu kutokea kwa vurugu nyingine na kuwaomba wananchi ‘kutotumika na kuchochewa kurudia makosa yaliyopita’.

Akirejea athari za maandamano ya Oktoba 29, Waziri Simbachawene amewataka vijana kufahamu gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu, ikiwemo kuchoma vituo vya mabasi ya mwendokasi- mradi alioutaja kuwa umejengwa kwa ajili ya wananchi wasio na uwezo wa kumiliki magari. Amefafanua kuwa miradi hiyo inagharimiwa na kodi pamoja na mikopo ambayo vizazi vijavyo vitapaswa kuilipa.

Akizidi kusisitiza umuhimu wa amani, Waziri Simbachawene amesema Tanzania inaonekana kuonewa wivu kutokana na mafanikio yake, hivyo wananchi wanapaswa kuepuka kuvuruga misingi ambayo imeijengea nchi heshima na utulivu wa miaka mingi. Ameongeza kuwa baadhi ya majirani wa Tanzania wamekumbwa na migogoro kwa muda mrefu, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kujifunza kutokana na changamoto za mataifa hayo.

“Na leo hii nilikuwa na mkutano mkubwa sana wa utatu kati ya Tanzania, Burundi na UNHCR (Shirika la kuhudumia wakimbizi duniani), tunafikiria namna ya kuwarudisha wakimbizi wale wa Burundi kurudi kwao maana wamekaa hapa karibu miaka 40…sasa tunafikiria warudi kwao kwa sababu masharti ya ukimbizi yameisha hawataki kuondoka, tunafikiria kutumia ushawishi wa nguvu ili waweze kuondoka. Kama wakimbizi hawataki kuondoka kwetu halafu sisi hatuienzi na kuiheshimu amani ya nchi yetu tutakuwa sisi ni wajinga wa mwisho".
View attachment 3509173
Chanzo: Jambo Tv
Ku+$&&"!m+';#&-37&!:!*;$yo.

ONGELEA HAKI KABLA YA AMANI.
 
Hivi hakuna kiongozi mwenye Iq kubwa Serikalini anayeweza kusimama akalihutubia taifa mambo yanaoweza kushusha hasira za wananchi, mambo hayo machache mbona yanafahamika na kila mtu?

Kiongozi asimame akemee hadharani mambo ya utekaji, mauaji, kusingizia watu kesi, ku upgrade kesi kutoka za uzurulaji na kuwa kesi za uhaini ili kukandamiza raia.

Kueleza wazi hatua madhubuti zitakazochukuliwa kwa wale wote walioshiriki mauaji ya raia wasio na silaha D29 pamoja na kuwalipa fidia wote waliopoteza maisha.

Naendelea kujiuliza, hivi kweli Serikali nzima imeshindwa kubaini point ndogo hizi ili kuweza kuleta afueni kwenye mtanziko huu?

Haya mambo ya kuonya watu walio na hasira mioyoni mwao, tena walio na mamlaka juu ya nchi yao ni dharau na uvunjifu wa katiba.

Sasa wote tutaonyana, Serikali inatuonya wananchi na wananchi nao tunaionya Serikali, mwisho utakuwaje hapo?
 
Kwa nini ukataze MAANDAMANO? Ni sahihi kulaani uharibifu wa mali na miundombinu. Sio kuzuia maandamano. Ruhusu maandamano; vyombo vya ulinzi viwepo kuhakikisha wananchi wanaandamana kwa amani; hakuna anayeenda zaidi ya kuandamana. Kama atajitokeza, adakwe na kushughulikiwa kadiri ya sheria inavyosema. Lakini si kumpiga risasi au kumuua.
 
Mimi nafikiri huyo Simbachawene angesema jeshi la polisi litoe kibali mapema ili wananchi waandamane kwa amani na kutoa malalamiko yao pasipo kufanya fujo, au polisi kuwaua hovyo kwa risasi za moto.

Na siyo kupiga marufuku, au kupinga uwepo wa hayo maandamano! Maana sheria inaruhusu watu kuandamana.
Hawa vilaza sijui walisoma wapi mbwa hawa.

Yaani wao wakiskia neno "maandamano" kitu kinachowaijia vichwani ni kutoweka kwa hiyo wanayoita "amani"

Yaani wanasahau kabisa haki za mwanainchi za kikatiba ni pamoja na hayo maandamano.

Na hiki kichaka cha neno "kulinda amani" wamekuwa wakikitumia kuhalalisha uonevu na unyama wanaoufanya kwa wanainchi.

Hakika kuna serikali ya ovyo yenye viongozi wa ovyo mpaka wanakera, sijui tulimkosea nini Mungu leo hii tunaongozwa na haya majinga.

Angalia kwenye maelezo yake amekazia sana kuhusiana na uharibu wa vitu na hakuna mahali alipotaja vifo....yaan hawa basi tu
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na athari nzito zilizosababishwa na maandamano ya Oktoba 29, 2025.

Amesema hayo usiku wa Novemba 28, 2025 katika burudani ya amani iliyofanyika Soko la Nyama Choma Kumbilamoto katika kata ya Vingunguti wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam akibainisha kuwa maandamano hayo yalisababisha vifo, uharibifu wa mali za serikali na binafsi pamoja na kusimama kwa shughuli za kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Simbachawene ameonya kuwa kuna taarifa za mipango ya maandamano mapya yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, 2025, akisisitiza kuwa Serikali haitaruhusu kutokea kwa vurugu nyingine na kuwaomba wananchi ‘kutotumika na kuchochewa kurudia makosa yaliyopita’.

Akirejea athari za maandamano ya Oktoba 29, Waziri Simbachawene amewataka vijana kufahamu gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu, ikiwemo kuchoma vituo vya mabasi ya mwendokasi- mradi alioutaja kuwa umejengwa kwa ajili ya wananchi wasio na uwezo wa kumiliki magari. Amefafanua kuwa miradi hiyo inagharimiwa na kodi pamoja na mikopo ambayo vizazi vijavyo vitapaswa kuilipa.

Akizidi kusisitiza umuhimu wa amani, Waziri Simbachawene amesema Tanzania inaonekana kuonewa wivu kutokana na mafanikio yake, hivyo wananchi wanapaswa kuepuka kuvuruga misingi ambayo imeijengea nchi heshima na utulivu wa miaka mingi. Ameongeza kuwa baadhi ya majirani wa Tanzania wamekumbwa na migogoro kwa muda mrefu, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kujifunza kutokana na changamoto za mataifa hayo.

“Na leo hii nilikuwa na mkutano mkubwa sana wa utatu kati ya Tanzania, Burundi na UNHCR (Shirika la kuhudumia wakimbizi duniani), tunafikiria namna ya kuwarudisha wakimbizi wale wa Burundi kurudi kwao maana wamekaa hapa karibu miaka 40…sasa tunafikiria warudi kwao kwa sababu masharti ya ukimbizi yameisha hawataki kuondoka, tunafikiria kutumia ushawishi wa nguvu ili waweze kuondoka. Kama wakimbizi hawataki kuondoka kwetu halafu sisi hatuienzi na kuiheshimu amani ya nchi yetu tutakuwa sisi ni wajinga wa mwisho".
View attachment 3509173
Chanzo: Jambo Tv
Leo ndiyo unasema infrastructure zinajengwa kwa kodi za wananchi, si huwa mnasema ni fedha za Samia sasa imebadilikaje. Wewe waziri na vijana wako ndiyo mmeshiriki direct kuua pamoja na amri kuwa imetoka kwa bi ma-boobs, mbona hauelezei raia ambao hawajaona miili ya ndugu zao wataipata wapi ili wawazike kwa taratibu zinazostahili? Huko kukwepa ku-address mambo muhimu ndiyo kunazidisha hasira za raia.
Tumeshastuka, tunadai serikali ya Tanganyika.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa wito kwa vijana na wananchi wa Tanzania kulinda amani na kuepuka kushiriki maandamano, akisisitiza kuwa taifa bado linakabiliwa na athari nzito zilizosababishwa na maandamano ya Oktoba 29, 2025.

Amesema hayo usiku wa Novemba 28, 2025 katika burudani ya amani iliyofanyika Soko la Nyama Choma Kumbilamoto katika kata ya Vingunguti wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam akibainisha kuwa maandamano hayo yalisababisha vifo, uharibifu wa mali za serikali na binafsi pamoja na kusimama kwa shughuli za kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Simbachawene ameonya kuwa kuna taarifa za mipango ya maandamano mapya yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, 2025, akisisitiza kuwa Serikali haitaruhusu kutokea kwa vurugu nyingine na kuwaomba wananchi ‘kutotumika na kuchochewa kurudia makosa yaliyopita’.

Akirejea athari za maandamano ya Oktoba 29, Waziri Simbachawene amewataka vijana kufahamu gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu, ikiwemo kuchoma vituo vya mabasi ya mwendokasi- mradi alioutaja kuwa umejengwa kwa ajili ya wananchi wasio na uwezo wa kumiliki magari. Amefafanua kuwa miradi hiyo inagharimiwa na kodi pamoja na mikopo ambayo vizazi vijavyo vitapaswa kuilipa.

Akizidi kusisitiza umuhimu wa amani, Waziri Simbachawene amesema Tanzania inaonekana kuonewa wivu kutokana na mafanikio yake, hivyo wananchi wanapaswa kuepuka kuvuruga misingi ambayo imeijengea nchi heshima na utulivu wa miaka mingi. Ameongeza kuwa baadhi ya majirani wa Tanzania wamekumbwa na migogoro kwa muda mrefu, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kujifunza kutokana na changamoto za mataifa hayo.

“Na leo hii nilikuwa na mkutano mkubwa sana wa utatu kati ya Tanzania, Burundi na UNHCR (Shirika la kuhudumia wakimbizi duniani), tunafikiria namna ya kuwarudisha wakimbizi wale wa Burundi kurudi kwao maana wamekaa hapa karibu miaka 40…sasa tunafikiria warudi kwao kwa sababu masharti ya ukimbizi yameisha hawataki kuondoka, tunafikiria kutumia ushawishi wa nguvu ili waweze kuondoka. Kama wakimbizi hawataki kuondoka kwetu halafu sisi hatuienzi na kuiheshimu amani ya nchi yetu tutakuwa sisi ni wajinga wa mwisho".
View attachment 3509173
Chanzo: Jambo Tv
Samia atahutubia aliowaibia kura siku chache kabla ya tarehe 9/12/2025.
Lengo ni kutoa onyo la maandamano ametanguliza chawa kwanza.
 
Akili kisoda,alipuuzwa yule wa kujiita amiri jeshi,ije kuwa wewe.

Endeleni kujichanganya, maandamano yapo palepale
 
Tunataka Haki yetu ya kuchagua watakaobtuingoza na sio watu kujisimika na wabunge kuwa watumwa WA Lahisi na sio wawakilishi WA wawa nanchi
 
Hivi hakuna kiongozi mwenye Iq kubwa Serikalini anayeweza kusimama akalihutubia taifa mambo yanaoweza kushusha hasira za wananchi, mambo hayo machache mbona yanafahamika na kila mtu?

Kiongozi asimame akemee hadharani mambo ya utekaji, mauaji, kusingizia watu kesi, ku upgrade kesi kutoka za uzurulaji na kuwa kesi za uhaini ili kukandamiza raia.

Kueleza wazi hatua madhubuti zitakazochukuliwa kwa wale wote walioshiriki mauaji ya raia wasio na silaha D29 pamoja na kuwalipa fidia wote waliopoteza maisha.

Naendelea kujiuliza, hivi kweli Serikali nzima imeshindwa kubaini point ndogo hizi ili kuweza kuleta afueni kwenye mtanziko huu?

Haya mambo ya kuonya watu walio na hasira mioyoni mwao, tena walio na mamlaka juu ya nchi yao ni dharau na uvunjifu wa katiba.

Sasa wote tutaonyana, Serikali inatuonya wananchi na wananchi nao tunaionya Serikali, mwisho utakuwaje hapo?
Wanadharau watanganyika, hii ndo maana hawana hudhuni yoyote ya kilichotokea. Kwao sisi ni kama nguruwe tu makafiri tunaopaswa kuuliwa tu. Pia wameshavishika vyombo ya ulinzi na wametengeneza vikosi vyao binafsi so wanaamini hakuna wa kuwatisha.
 
Back
Top Bottom