PostGE2025 Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

PostGE2025 Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi nafikiri huyo Simbachawene angesema jeshi la polisi litoe kibali mapema ili wananchi waandamane kwa amani na kutoa malalamiko yao pasipo kufanya fujo, au polisi kuwaua hovyo kwa risasi za moto.

Na siyo kupiga marufuku, au kupinga uwepo wa hayo maandamano! Maana sheria inaruhusu watu kuandamana.
Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali wanatakiwa kupokea taarifa ya maandamano[ ambayo imefanyika na dunia nzima wanajua]

Wao kazi yao ni kulinda waandamanaji na mali zao.

Ajabu polisi hao hao ndio wamegeuka wauaji na majizi , maana hata kanisa la Gwajima lililokua chini ya ulinzi wao imebainika wamevunja sanduku la kuhifadhi pesa na kuchukua pesa zote.
 
D9 tukawashe zaidi, mwendokasi na vituo vilivyobaki, petrol station zote nchi nzima ziwake, vituo vya polisi na ofisi za ccm zite ziwake.

Wanaanza kufunguka masikio, sasa D9 tukawafungue macho.

Hawaongelei kutekwa, kuuwawa ndugu zetu sasa tufanye kile kinachowaumiza kuchoma na kuharibu miundo mbinu yao.

Tukutame D9 na kuendelea popote ulipo.
 
Hii serikali feki inajisumbua tu na hii kitu kwa kuwa wananchi hatutawaasikiliza wala kuwaamini tena mpaka pale yale yanayohitajika yamefanyika kwa pande zote mbili kukaa na kukubaliana

Yanayihitajika kufanyika wanayajua lakini wanajifanya hamnazo

Kama wamesahau, tuwakumbushe;

1. Wakiri kwa uwazi kuwa tarehe 29/10 na siku zilizofuata waliua watu wasiokuwa na hatia kwa maelfu

2. Watoe takwimu za watu waliouwawa na waoneshe zilipo maiti za watu hao ili ndugu wawazike kwa heshima zitakiwazo

3. Watuambie ni kina nani walihusika na mauaji hayo (kuanzia waliopanga, kutoa amri na silaha za kuulia na waliotekeleza amri hiyo haramu)

4. Watuambie ni kwanini waliua watu waliokuwa hawana silaha.


5. Tunataka watuambie ni hatua gani za kisiasa na kisheria zimechuliwa kuwajibika kwa wahusika wote

6. Wamwachie Tundu Lissu haraka kwa kuwa hana hatia yoyote na mashitaka yake ni ya kisiasa, ya uonevu na kwa hakika ndiyo chanzo cha mauaji na vurugu za uchaguzi zilizotokea na zitakazoendelea kutokea mpaka washike adabu

#Tukipata suluhu na majibu ya haya yote, ndipo tuitane na kukaa mezani tuzungumze namna ya kwenda mbele kama taifa na nchi
 
Waziri, Mwambie Samia kuwa huku mtaani watu hawamtaki, maana hakuna aliyemchagua. Akilijua hilo akajiuzuru nakuhakikishia 9D hakutokua na maandamano
 
Hivi hakuna kiongozi mwenye Iq kubwa Serikalini anayeweza kusimama akalihutubia taifa mambo yanaoweza kushusha hasira za wananchi, mambo hayo machache mbona yanafahamika na kila mtu?

Kiongozi asimame akemee hadharani mambo ya utekaji, mauaji, kusingizia watu kesi, ku upgrade kesi kutoka za uzurulaji na kuwa kesi za uhaini ili kukandamiza raia.

Kueleza wazi hatua madhubuti zitakazochukuliwa kwa wale wote walioshiriki mauaji ya raia wasio na silaha D29 pamoja na kuwalipa fidia wote waliopoteza maisha.

Naendelea kujiuliza, hivi kweli Serikali nzima imeshindwa kubaini point ndogo hizi ili kuweza kuleta afueni kwenye mtanziko huu?

Haya mambo ya kuonya watu walio na hasira mioyoni mwao, tena walio na mamlaka juu ya nchi yao ni dharau na uvunjifu wa katiba.

Sasa wote tutaonyana, Serikali inatuonya wananchi na wananchi nao tunaionya Serikali, mwisho utakuwaje hapo?
Wapo viongozi wachache wenye IQ kubwa, lakini sio viongozi wa kitaifa. Kwa mfano, RC Mtaka ana combination sahihi ya akili na leadership traits. I wish angekuwa kiongozi wa kitaifa!
 
Unajua zipo hasara lukuki za kuvimbewa na hii ni moja ya madhara hayo. Wamekula sana wanahemea juu juu na sasa wanahaaha kulinda asali zao na mikate yao isiguswe, wanajua mkianza kuwapa pressure hawatakula kwa utulivu tena. Wamevimbewa sana.

Na wanajua watanganyika wakipiga kelele chakula yao haitalika tena maana walikuwa wakila kwa amani bila kelele za wajinga watanganyika sasa wameshtukiwa, wanatumia kila aina ya kitisho Ili tu muwaache waendelee kuvimbewa na kula mstarehe ..kelele zinawaumiza sana masikio yao😂😂😂🤣
 
Tanzania haijafanya uchaguzi na hivyo haina serikali. Huyu Simbachawene ni waziri wa mambo ya ndani wa serikali ya nchi ipo? Au anafanya maigizo?
 
Watoe kibari na ulinzi simple mtaongozaje watu ambao hawawataki nyie mpo kulazimisha tu
 
Hapa Simbachawe anapaswa kuwa makini sana maana yeye ni presidential material wanataka aingie mkenge wa ICC usikubali bro we shika katiba ulioapa kuilinda tafuta kifungu Cha maandamano kinatakiwaje hutubia waandamanaji kulingana na katiba tunakuhitaji 2030
 
Back
Top Bottom