Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekataa ombi la kujiuzulu kwa Waziri wa Usalama wa Ndani, kufuatia ghasia zilizozuka nchini humo.
Macron amesema waziri Laurent Nunez, anapaswa kuendelea kuhudumu katika wadhfa wake na kutafuta suluhisho za kukabiliana na waandamanaji waliohusika na ghasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.