Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.
Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...