apps

  1. Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
  2. Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa. Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
  3. Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer. Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi. Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
  4. A Place to Meet, Learn and Create Innovative Products

    Salamu wandugu. Nimeombwa na marafiki ambao wanatafuta kuwekeza kwenye innovation/incubation of ideas and local product development. For artist, technologists, engineers, application developers, etc. The Idea ni kuwa na sehemu ambayo itawapa fursa like-minded people kubadilishana mawazo na...
  5. Easy and good mobile apps throuth bookmaker company

    what apps do you use? maybe you don't use any apps. so why? please, I need a good advice to choose a good bookmaker with good apps
  6. What apps in your phone do you use the most?

    For me it's WhatsApp, Twitter and Weather, and you?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…