ardhi

  1. Manyara: Maafisa Ardhi wafikishwa Mahakamani kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. 84,000,000

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Manyara imemfikisha Mahakamani Bw. IDDI ISSA RULAMYE - Mpima Ardhi Msaidizi aliyekuwa Halmashauri ya Mji Babati na Wenzake Wawili. Washtakiwa hao wamefikishwa mbele ya Mh. MARTINE MASAO Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa makosa ya...
  2. Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  3. Mbunge Jafari Chege Aitaka Serikali Kufanya Maboresho ya Sera ya Ardhi Mwaka 1995

    MBUNGE JAFARI CHEGE AITAKA SERIKALI KUFANYA MABORESHO YA SERA YA ARDHI MWAKA 1995 "Je, ni lini Serikali itafanya maboresho ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Rasimu ya Sera ya Taifa ya mwaka 1995 toleo la mwaka 2023 liliwasilishwa...
  4. Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

    Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL. Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu...
  5. B

    Kupata hati wizara ya ardhi inachukua siku ngapi?

    Nina ardhi yangu iko mkoa wa Dar es Salaam haijapimwa bado. Je, process za wizara ya ardhi kukupimia zikoje?
  6. D

    Mwongozo wa utoaji ardhi kwa raia- ardhi isiyomilikiwa kiasili

    (fungu la 24 - 30) UTANGULIZI Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki inaweza kuwa kwenye mojawapo ya makundi yafuatayo kwa maeneo ya mijini hapa Tanzania. Ardhi inayotolewa...
  7. D

    Je, unajua hati yako ya kumiliki ardhi inaweza batilishwa akapewa mwingine?

    Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
  8. Jerry Slaa, ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa umefikia wapi? Tinazikumbuka zile bilioni 350! Sasa mnazua zogo, wakati Hela mnayo ya kutatua tatizo

    Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam. Basi hizo Hela zielekezwe kununua vifaa vya upimaji, upimaji uwe bure nchi nzima, wanaodai fidia ya viwanja, walipwe humo.
  9. A

    DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  10. Mbingu na ardhi vimejitenga rasmi, kelele nyingi na propaganda uchwara avichezi mpira uwanjani!

    Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona! Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
  11. M

    Bbc Swahili: Isreal sio ardhi yao ni ya Palestina

    Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni. Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi...
  12. Mnashindwa kuelewa, Hamas hawapo kuikomboa ardhi bali ni kutekeleza itikadi

    Bada ya wakimbizi wa kipalestina kuondelewa kutoka Jordan walipokelewa na Lebanon, nchi ambayo ilikuwa yenye mchanganyiko wa wakristu na waislam. Wakristu walikuwa wengi kuliko waislam. Sasa hawa jamaa walivyofika kule lebanon, kwa kuwa fujo na ubaguzi ndio asili yao, wakaanza vugu vugu kwa...
  13. Walio na uchungu wa ardhi ya Waarabu wa Palestina, kumbukeni pia DRC watu 6.9m wamefukuzwa kwenye ardhi yao

    Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC wamefukuzwa kutoka kwenye ardhi zao...... ============================= The conflict between M23 rebels...
  14. Msingi Namba 1 Kwa Yeyote Anayeanza Kuwekeza Kwenye Ardhi Au Majengo

    Utangulizi. Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine huchukua miaka kumi (10). Ndiyo, hicho ni kipindi ambacho mtu hujiandaa kuanza umiliki wa ardhi au...
  15. Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  16. Kumbe mataifa yanayokalia wengine nayo yanakaliwa na kijipande kidogo cha ardhi kiitwacho Israel!

    Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani. Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu...
  17. Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  18. F

    Wabantu tumehamia Tanzania. Ikitokea watu fulani wakija wakasema tuwapishe Tanzania ni ardhi ya babu zao tutakubali?

    Habari wadau. Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti. Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu...
  19. Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "π‘Όπ’”π’Šπ’π’‚π’π’† 𝒏𝒂 π’Žπ’•π’– π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’Žπ’•π’–...
  20. Afghanistan yakumbwa na tetemeko la ardhi la tatu ndani ya wiki moja

    Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000. Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…