aretas lyimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    DCEA yanasa Jahazi la kiPakistan Bahari ya Hindi likiwa na Methamphetamine 670 kg

    Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo. Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi Meth ni stimulant ya Central Nervous system. Vijana wanaitumia kuongeza energy na imani. Pia inasemekana inapunguza...
  2. P

    Serikali ya kamata kilo Milion 2 za dawa za kulevya kuanzia Januari hadi Desemba 2024

    Mamlaka ya kudhibiti na kupambana Dawa za kulevya nchini, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya zenye uzito wa kilogramu milioni 2 katika kipindi cha Januari hadi Disemba 2024. “Hiki ni kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kuwahi kukamatwa tangu mamlaka hii kuanzishwa, katika dawa zilizokamatwa...
  3. Pfizer

    Waziri Dkt. Nchemba azungumza na Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas Lyimo

    DODOMA-Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Aretas Lyimo, ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, katika Ofisi ya Waziri wa...
Back
Top Bottom