aretas lyimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hongera Kamishna Aretas Lyimo, kazi yenu inaonekana wazi

    Kwa kweli pongezi ziwafikie Kamishna wa DCEA Aretas Lyimo, pamoja na timu yake.Huyu mzee kapiga sana kazi kwa kweli operesheni zimeonekana kuwa na matokeo. Tofauti na miaka ya 2005 mpaka 2015 inaonekana idadi ya mateja imepungua mno ni kama imeisha kabisa sema pia nimegundua genZ wapo smart...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamishina Aretas Lyimo: Wanaovaa nguo zenye picha ya Bangi kuchukuliwa hatua

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi. Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Aretas Lyimo: Tanzania inaongoza udhibiti wa dawa za kulevya

    kwa huu Ukanda wa Afrika Mashariki kwa tathmini iliyopo, Tanzania ndio inaongoza kwa kudhibiti wa Dawa za kulevya na ndio inaongoza kwa kukamata Dawa nyingi kuliko mataifa mengine, na hata Mataifa ya Ulaya yamefiki nchini Tanzania kutupongeza kuhusiana na jambo hilo….” Kamishna Jenerali Mamlaka...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania DCEA yanasa Jahazi la kiPakistan Bahari ya Hindi likiwa na Methamphetamine 670 kg

    Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo. Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi Meth ni stimulant ya Central Nervous system. Vijana wanaitumia kuongeza energy na imani. Pia inasemekana inapunguza...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kamata kilo Milion 2 za dawa za kulevya kuanzia Januari hadi Desemba 2024

    Mamlaka ya kudhibiti na kupambana Dawa za kulevya nchini, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya zenye uzito wa kilogramu milioni 2 katika kipindi cha Januari hadi Disemba 2024. “Hiki ni kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kuwahi kukamatwa tangu mamlaka hii kuanzishwa, katika dawa zilizokamatwa...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Nchemba azungumza na Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas Lyimo

    DODOMA-Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Aretas Lyimo, ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, katika Ofisi ya Waziri wa...
Back
Top Bottom