ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwa kweli pongezi ziwafikie Kamishna wa DCEA Aretas Lyimo, pamoja na timu yake.Huyu mzee kapiga sana kazi kwa kweli operesheni zimeonekana kuwa na matokeo.
Tofauti na miaka ya 2005 mpaka 2015 inaonekana idadi ya mateja imepungua mno ni kama imeisha kabisa sema pia nimegundua genZ wapo smart sana sio watu wa kushawishiwa kutumia cocaine na heroin wajanja sana vijana wa siku hizi..
All in all hakuna mapambano yanayokuwa na mafanikio ya asilimia 100, lakini pale panapoonekana jitihada na matokeo, ni vizuri pia kutoa pongezi.