Aretas Lyimo: Tanzania inaongoza udhibiti wa dawa za kulevya

Aretas Lyimo: Tanzania inaongoza udhibiti wa dawa za kulevya

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
kwa huu Ukanda wa Afrika Mashariki kwa tathmini iliyopo, Tanzania ndio inaongoza kwa kudhibiti wa Dawa za kulevya na ndio inaongoza kwa kukamata Dawa nyingi kuliko mataifa mengine, na hata Mataifa ya Ulaya yamefiki nchini Tanzania kutupongeza kuhusiana na jambo hilo….” Kamishna Jenerali Mamlaka ya Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya – Aretas Lyimo

Chanzo: ITV​
 
Huko Ulaya bange imeruhusiwa huku kwetu tunakamatana tu
 
Back
Top Bottom