Kamishina Aretas Lyimo: Wanaovaa nguo zenye picha ya Bangi kuchukuliwa hatua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.

Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2024 ambapo amesema hatua hii inatekelezwa kama sehemu ya juhudi za kudhibiti matumizi na ushawishi wa dawa za kulevya katika jamii.

"Kwa mujibu wa sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inakataza mtu yoyote kuvaa mavazi au kuhamasisha kwa namna yoyote ili ya kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya na sheria hiyo kifungu namba 24 ukikutwa na hatia hiyo inakupeleka gerezani kwahiyo mtu yoyote anayevaa mavazi hayo tunamchukulia hatu" Aretas Lyimo - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya

Kamishna Lyimo amesisitiza kuwa mavazi yanaweza kuwa na athari kubwa katika kuhamasisha na hivyo ni muhimu jamii iungane katika mapambano dhidi ya utumiaji wa bangi na dawa nyingine za kulevya.

Katika hatua nyingine amesema serikali imeanza kufanya mazungumzo na kupokea maoni juu ya namna ya kudhibiti matumizi ya Shisha baada ya kugundulika kuwa kuna baadhi ya watoa huduma wameanza wanachanganya shisha na dawa za kulevya ili kuvutia wateja.
 
Mbona wanahangaika na mambo madogomadogo!
 
Huu sasa nao usengerema tu! Wanao vaa vikuku sawa,wanao vaa skin zinachora mpaka vitumbua vyao sawa,wanao vaa vinjuga sijui sawa lakini wanavaa nguo zenye mmea ambao unapatikana kwenye mazingira toka enzi za Adam wanashambuliwa.HOVYO KABISA
 
I fall in love with indica.

hiyo ni tshirt yangu imeandikwa ivyo, hapo ntafungwa miaka mingapi?
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.

Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2024 ambapo amesema hatua hii inatekelezwa kama sehemu ya juhudi za kudhibiti matumizi na ushawishi wa dawa za kulevya katika jamii.

"Kwa mujibu wa sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inakataza mtu yoyote kuvaa mavazi au kuhamasisha kwa namna yoyote ili ya kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya na sheria hiyo kifungu namba 24 ukikutwa na hatia hiyo inakupeleka gerezani kwahiyo mtu yoyote anayevaa mavazi hayo tunamchukulia hatu" Aretas Lyimo - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya

Kamishna Lyimo amesisitiza kuwa mavazi yanaweza kuwa na athari kubwa katika kuhamasisha na hivyo ni muhimu jamii iungane katika mapambano dhidi ya utumiaji wa bangi na dawa nyingine za kulevya.

Katika hatua nyingine amesema serikali imeanza kufanya mazungumzo na kupokea maoni juu ya namna ya kudhibiti matumizi ya Shisha baada ya kugundulika kuwa kuna baadhi ya watoa huduma wameanza wanachanganya shisha na dawa za kulevya ili kuvutia wateja.
 
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.
Kama Taifa, tuna changamoto ya kukosa vipaumbele.

Yaani hujamaliza hiki, umerukia kile, hujamaliza kile umerukia kingine, hamna kitu tunaenda nacho hadi mwisho.

Kila mtu anataka asikike, FAILED STATE.
 
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.

Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2024 ambapo amesema hatua hii inatekelezwa kama sehemu ya juhudi za kudhibiti matumizi na ushawishi wa dawa za kulevya katika jamii.

"Kwa mujibu wa sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inakataza mtu yoyote kuvaa mavazi au kuhamasisha kwa namna yoyote ili ya kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya na sheria hiyo kifungu namba 24 ukikutwa na hatia hiyo inakupeleka gerezani kwahiyo mtu yoyote anayevaa mavazi hayo tunamchukulia hatu" Aretas Lyimo - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya

Kamishna Lyimo amesisitiza kuwa mavazi yanaweza kuwa na athari kubwa katika kuhamasisha na hivyo ni muhimu jamii iungane katika mapambano dhidi ya utumiaji wa bangi na dawa nyingine za kulevya.

Katika hatua nyingine amesema serikali imeanza kufanya mazungumzo na kupokea maoni juu ya namna ya kudhibiti matumizi ya Shisha baada ya kugundulika kuwa kuna baadhi ya watoa huduma wameanza wanachanganya shisha na dawa za kulevya ili kuvutia wateja.
Kaka aretas lyimo nilikuwa na kuheshim sana na bado nakuheshim, unafanya kazi nzuri sana hapo dcea, pls achana na petty issues, ni kujishushia cv
 
Back
Top Bottom