Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,553
- 2,137
Itafika kipindi watu watakaguliwa kama wanavaa kofuli in mromboo voice
Kwenye dawa za kulevya waacheni wafanye kazi.Naona wanataka kuvuka mipaka🐼
Sijaelewa, picha ya lile jani la mmea wa bangi au msokoto?This is too much sasa loh...!!!!
drugdealerID yangu matatani 👀