An arrest warrant or bench warrant is a warrant issued by a judge or magistrate on behalf of the state which authorizes the arrest and detention of an individual or the search and seizure of an individual's property.
Wanajamvi,
Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao.
Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC
Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli.
Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.