arrest warrant

  1. jmushi1

    Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

    Wanajamvi, Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao. Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
  2. Bams

    Ufafanuzi Kuhusu Arrest Warrant Iliyotolewa na Mahakama ya ICC

    Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli. Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika...
Back
Top Bottom