Wito wa mwisho kwa Diaspora wetu Marekani. Its now or never, hakikisheni vyovyote vile Arrest Warrant inapatikana

Wito wa mwisho kwa Diaspora wetu Marekani. Its now or never, hakikisheni vyovyote vile Arrest Warrant inapatikana

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia imepambana sana kuzuia hili ni kielelezo tosha kuwa Marekani imeamua kujiweka kando na huyu muuaji wa Watanganyika.

Tangazo hili ni kielelezo kingine kuwa Serikali ya sasa ya Marekani haimuungi mkono Samia katika nyanja zote kutokana na ushenzi alioufanya kwa Watanganyika.

Dunia ilipofika Leo hii, Viongozi wanaoonesha wana kiburi dhidi ya Wananchi mfano wa Samia dawa yao ni moja tu nayo ni kushighulikiwa kweli kwa mkono wa chuma. Hili tumeliona kwa namna Marekani walivyomshughulikia dikteta aliyewatesa sana raia wa Venezuela Maduro.

Wito wangu kwenu. Inapaswa tutumie njia zote kuhakikisha Marekani ana sababu ya kumshughulikia Samia. Na ili hili lifanikiwe ni lazima kwa njia yeyote ile Mahakama yeyote ya nchini Marekani itoe Arrest Warrant ya huyu bibi na Wasaidizi wake wote waliofanya mauaji ya Watanganyika na wanaoendelea kufanya mauaji ya Watanganyika.

Nawaomba kwa mara ya mwisho Diaspora wetu mliopo Marekani, anzeni mawasiliano na Wanasheria wa Serikali ya Marekani na hakikisheni Mahakama yeyote ile ya Marekani inatoa Arrest Warrant kuamuru Law Enforcement Agencies za Marekani kuwakamata Samia, Mafwele, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadhi, SACP Muliro, Mchengerwa na Abdul Ameir.

Makosa waliyofanya yanajulikana na uzuri makosa haya yamegusa maslahi ya Marekani maana yamewagusa hadi Wamarekani mf. Kutekwa, kuzimiwa Internet na uhalifu dhidi ya binadamu.

Tunawaomba sana fanikisheni hili haraka ili Trump aingie kazini kumshughulikia huyu bibi na genge lake kwa full force.
 
Kule tuna watu wawili wa muhimu sana 1.Liberatus Mwang'ombe na Mange Kimambi
Hawa wanapaswa hadi kupigiwa simu na kukumbushwa kila siku kuwa kuanzia sasa this should be a priority.

Hawa wanywadamu tukiwaendea kimasihara sijui watatumaliza wote. Samia ameshaona ni mwendo wa kutumaliza Watanganyika wote na Wakristo.
 
Wangevitafuta vile videmu viandishi vya habari vinavyomuhoji trump kwenye press zake.

Mnakipanga kimuulize kuhusu hatma na jinsi mambo yalivyofanyika najua ni lazima atoe majibu hapo hapo.

Akitoa majibu mazuri bingo.
Waingie kazini kwa serious sana.

Huyu bibi muuaji lazima tumfundishe kitu mwaka huu.
 
Back
Top Bottom