arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. babu M

    Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

    Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger. Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa Arsenal ipo katika nafasi ya nane katika jedwali la Ligi Kuu. Freddie Ljungberg amewekwa kama meneja...
  2. Ngongo

    Nimeacha kuishabikia Arsenal

    Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners. [1] Kukwepa magonjwa ya moyo. [2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana. [3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club...
Back
Top Bottom