Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.
[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.
[2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana.
[3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club...