arsene wenger

  1. Braza Kede

    Mwandishi ashindwa kumhoji Mzee Arsene Wenger

    Kuna video inamuonesha mwandishi wa habari akihaha kumkimbilia Kocha wa zamani wa Arsenal ya Jijini London, Mzee Arsene Wenger kwa ajili ya kupata mahojiano mara baada ya nguli huyo kutua Airport ya JK Nyerere kwa ajili ya michezo ya African football league (afL). Kichekesho ni pale Mzee Wenger...
  2. Mhaya

    Arsene Wenger na Pierluigi Collina watua nchini kutazama mechi ya ufunguzi wa African Football League

    Kocha wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African Football League kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa. -- Mkufunzi...
  3. Mhaya

    Arsene Wenger kuja kuwatizama SIMBA kwa Mkapa

    Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20. Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa FIFA atakuwa sehemu ya watu watakaolitazama pambano la mechi ya Simba SC na Al Ahly ya Misri katika...
Back
Top Bottom